Category Archives: Uncategorized
DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUWEKEZA
Mwanamziki na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Tanzania aendelea kuweka rekodi mbali mbali nchini na ulimwenguni kote kwa kufanya uwekezaji katika taasisi na sekta mbali mbali. Jana mnamo saa nne kamili 26/11/2021 10:00 , Diamond Platnumz aliweza kuzindua kampuni yake ya uwekezaji aliyoiita WASAFI BET na mpaka Sasa watu wengi washaanza kujisajili ambapo ametangaza kutoa bonasiContinue reading “DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUWEKEZA”